RAIS JAKAYA KIKWETE:SINA MUDA WA KUJADILI UPUUZI KUHUSU RIDHIWANI

 
Rais wa jamhuri ya Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amekanusha vikali kuhusu madai yanayomuhusu mtoto wake Ridhiwani ambae ni mbunge wa Chalinze ya kuwa anahusika na biashara haramu ya madawa ya kulevya.




Comments