PASTOR MYAMBA APEWA ZAWADI YA SH MILLIONI 250

Hii imetoka kwenye instagram ya actor JB na inamuhusu muigizaji mwenzake wa bongomovie ambaye amefunga ndoa hivi karibuni.
Kwenye hiyo post taarifa ni kwamba pesa hizo hii ni moja ya zawadi alizopewa Pastor Myamba pamoja na mke wake baada ya kufunga ndoa yao.

Hii picha ni baada ya kukabidhiwa hizo pesa.

Comments