OMARIO APATA MTOTO WA KIUME

Mpenzi wa star wa Rnb Omarion amejifungua mtoto wa kiume. Kwa mujibu wa Omarion mpenzi wake amejifungulia nyumbani na hakuhitaji dawa yeyote wakati anajifungua. Omarion anasema hivyo ndivyo alivyozaliwa yeye. Hii Post Ya Omarion Instagram.
Omarion Na Mpenzi Wake
               omarion na mchumba wake
Omarion Na Mtoto Wake
                                         omario na mwanae
“World,Allow me to introduce. MEGAA OMARI GRANDBERRY. He is 7 pounds. 4oz & 20 inches long. My son I’ve been waiting on you God is the realist!! I witnessed a miracle. My soul mate @aprylsjones is so strong! Not only did she have a un medicated birth (no drugs) she did it at home. Naturally. Just like my mom had me.

Comments