NICKI MINAJ AVUNJA REKODI ILIYOWEKWA NA MICHAEL JACKSON

nicki
Rapper wa Young Money Nicki Minaj amevunja rekodi ya mfalme wa pop duniani marehemu Michael Jackson. Rekodi aliyovunja Nicki Minaj ni rekodi ya kuwa na nyimbo nyingi zaidi kwenye chart kubwa za muziki duniani za Bilboard.
Wimbo mpya wa Nicki Minaj ‘Anaconda’ umeshika namba 19 nakumwezesha kumpiku Michael Jackson ambaye aliweka rekodi hii kwa kuwa na nyimbo 50 zilizowahi kushika chati kwenye bilboard sasa Nicki Minaj ana nyimbo 51 ambazo zimemfanya awe kwenye kiwango kimoja na msanii Rod Stewart.
Hii Post ya Nicki Instagram.
nicki 2

Comments