NICKI MINAJ ATANGAZA TAREHE YA KUTOKA KWA CD YA PINK PRINT

nicki-minaj-the-pinkprint
Nicki Minaj ametangaza tarehe ya kutoka kwa album yake mpya “The Pinkprint” ambayo itakuwa November 28 2014 kwa mujibu wa Bilboard.com.Album hii nimuendelezo wa album yake ya mwaka 2013 Pink Friday :Roman Reloaded itakuwa na nyimbo kama Pills N Potions na Anaconda.
Mategemeo ya Minaj ni album hii kufanya vizuri sokoni kama ilivyokuwa kwenye album yake ya awali iliyoshika namba 7 na baada ya wiki 1 ikashika namba 2 kwenye chati za Bilboard Hot R&B/Hip-Hop.

Comments