Nicki Minaj ametuonjesha tena baadhi tu ya picha za utengenezwaji wa video mpya ya ‘Anaconda’ inayotoka jumatano ya 20/8/2014 kupitia account yake ya VEVO. Rapper Drake ameonekana kwenye video hii iliyotayarishwa na Colin Tilley. Nicki Minaj atafanya show ya Mtv Video Music Awards na huu wimbo wake mpya kutoka kwenye album ya The Pink Print
Comments
Post a Comment