MUONEKANO WA HULK HOGAN AUJABADILIKA

 

Muonekano wa Hulk Hogan Toka Mwaka 1990 Mpaka 2014 Haujabadilika.

Wanasema mcheza mieleka maarufu duniani Hulk Hogan bado anamuonekani wa ubingwa ata baada ya miaka mingi nje ya mchezo wa mieleka. Picha ya kushoto anaonekana akiwa na miaka 37 ilikuwa miaka ya tisini. Miaka 24 imepita na anaelekea miaka 61 bado anamuonekano uleule. Anasema Mazoezi,Kula na kulala vizuri na kuwa na furaha na familia yake vimechangia haya.

Comments