MFAHAMU BAKRESA

 

Kati ya miaka y 1960 mpka 1980 , mtu kua tajiri ilionekana ni hatari sana kwa taifa, tena mali zake alizilimiliki kwa kificho vinginevyo angeonekana mhujumu wa uchumi... Lakini kwa sasa mambo yamebadilika, taratibu sera za kibepari zinatawala. ujamaa unapewa nafasi kidogo.

SAIDI BAHKRESA.
    Jina lake kamili ni SAID SALIM AWADH BAHKRESA. Jarda la forbs mwaka jana limemuorodhesha kuwa ni miongoni mwa matajiri 40 wa Afrika...anaomiliki utajili wa dolla million 620 sawa na trillion moja.. Pia inadaiwa kuwa anautajiri zaidi ya huo unaokisiwa,,..

Comments