MASKINI MBUNGE HUYU APATA AJALI MBAYA SANA

 
Mbunge wa Tabora mjini(ccm) Ismail Aden Rage ambae pia ni mjumbe wa bunge la katiba amepata ajali leo siku ya jumatatu tar 4/8/2014 akiwa anaelekea mkoani Dodoma ndipo alipata ajali hiyo mbaya katika eneo la Chigongwe nje kidogo ya manspaa ya Dodoma.Rage amelazwa katika hospital ya Rufaa Dodoma.Vikao hivyo vya bunge la katiba vitaanza rasmi kesho asubuhi.


Comments