MASANJA MKANDAMIZAJI AONGELEA ISHU YA WEMA NA DIAMOND

 
Wema, Mkandamizaji na Diamond

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mambo Instagram basi jana na leo kume kua na hili swala la Wema na Diamond. Tema Wema wakitaka na wameanzisha hashtag ya #BringBackOurWema na kutoa maoni, lawama na
masikitiko yao juu ya Wema huku lawama kubwa kabisa akipewa Diamond ambaye nae ameisha wajibu (soma alicho kisema hapa). Sasa kwa jinsi mambo yanavyo enda nae Mkandamizaji aka Street Pastor ameamua kusema yake ya moyoni kama ifuatavyo


Comments