MAMA BEYONCE AZUNGUMZIA NDOA YA BEYONCE NA JAY Z

4
Hivi karibuni kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu uhusiano kati ya Beyonce na Jay Z kutaka kuvunjika. Story hizo zinapata nguvu kutokana na historia ya ugomvi uliotokea kati Jay Z na mdogo wake Beyonce kwenye lift.
Camera ya mapaparazi ikakutana na mama wa Beyonce akiwa anatoka restaurant na kumuuliza kuhusu ukweli juu ya maisha ya ndoa ya mwanae na Jay Z.  Alichojibu mama huyo ni kwamba kila kitu kipo sawa, aliongeza zaidi kwa kusema wanaochukia wataendelea kuchukia lakini wawili hao (Jay Z na Beyonce) mambo yao yapo vizuri.

Comments