LIL WAYNE ATOA COVER ALBUM YA CARTER V

lil wayen
Kama umekuwa miongoni mwa watu wanaosubiri kwa hamu album ya Lil Wayne iliyotangazwa kuwa album yake ya mwisho kabla hajachukua muda nje ya muziki, taarifa mpya zimeanza kutoka kuhusu ujio wa Carter V.
Lil Wayne ametoa Official Cover La Album ya Carter V ambalo ni kama muendelezo wa Cover zilizopita zote zinamwonyesha Lil Wayne akiwa mtoto, Wayne  anasema mama yake alikuwa Suprised sana kuona picha yake alivyokuwa kijana na mwanae, Hii ndio picha itakayotumika kwenye cover la Carter V.
weezy

Comments