Jay Z ameamua kumshauri Rihanna kwa kumuonesha picha ya mkewe Beyonce kama mfano bora wa kuiga.
Kwa mujibu wa Dish Nation, chanzo chake kinadai kuwa Jay Z amemshauri Rihanna kuanza kuishi na kuvaa kama Queen Bey.
Inaelezwa kuwa Jigga ameshamshauri Rihanna kuacha tabia za uvutaji na unywaji vilevi vikali.
Ushauri wote huo umetokana na tukio la Rihanna kuonekana akiwa amevaa mavazi yanayoonesha mwili wake kwenye tuzo za CDFA, pamoja na kuonesha hadharani kuwa anavuta bangi.
Jay Z aligundua kipaji cha Rihanna miaka kumi iliyopita, alimsaini kwenye label yake ya Roc Nation.

Comments
Post a Comment