Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Lewis Makame amefariki dunia leo katika hospital ya AMI Trauma Center, iliyopo Masaki jijini Dar es salaam.
Mzee Makame alikuwa amelazwa katika hospitali hiyo kwa matibabu kwaajili ya malazi yaliyokuwa yakimsumbua.
R.I.P Jaji Makame
Comments
Post a Comment