HUYU NDO DEFENDER MPYA WA BARCELONA

vermaelen
Barcelona wamekamilisha uhamisho wa defender wa Arsenal Thomas Vermaelen. Barcelona wamethibitisha kutumia paundi £15m kwenye usajili wa defender wa Arsenal kutoka Belgium Thomas Vermaelen kwa mkataba wa miaka mitano.Thomas anamiaka 28 na ameshafanyiwa vipimo vya afya jumamosi ya 9/August/2014 na kutambulishwa kwa mashabiki kwenye uwanja wa Nou Camp jumapili.
Thomas alijiunga na Arsenal kutoka Ajax kwa paundi £10m mwaka 2009 na mpaka sasa ameichezea Arsenal mara 150 .Awali Vermaelen alitakwa na Manchester United. Thomas alisema”Kujiunda na Barcelona ni ndoto na umekuwa uamuzi mgumu sanal”
_76854538_vermaelen5_getty 
vermaelen

Comments