Imeripotiwa tarehe 11 August 2014, Klabu ya Man City imefanikiwa kukamilisha usajili wa Eliaquim Mangala kutoka Porto kwa Ada ya Pauni milioni 32. Mangala ambaye ni beki wa kati amepewa mkataba wa miaka mitano na Jezi Namba 20 Ni yake sasa.
Mangala atakutanishwa Fernando ambaye wamefahamiana kwa muda mrefu na wanacheza kwenye timu ya taifa ya Porto.
Mangala atakutanishwa Fernando ambaye wamefahamiana kwa muda mrefu na wanacheza kwenye timu ya taifa ya Porto.
Comments
Post a Comment