Msimu wa Fiesta umeshaanza na shoo ya kwanza itafanyika pale CCM Kirumba mkoa wa Mwanza tar9/8/2014 siku ya jumamosi.Hii ni list ya wasanii watakaofanya shoo katika jukwaa hilo.
*diamond platinumz
*shaa
*mkubwa na wanae
*young killer
*ney wa mitego
*linah
*makomando
*mr blue
*madee
*young dee
*super nyota
Comments
Post a Comment