H.BABA AMSHAURI WEMA NA DIAMOND KUHUSU NDOA


Msanii wa muziki na filamu H.Baba ambaye yupo ndani ya ndoa na msanii mwenzake Flora Mvungi ametoa maoni yake kwa kile kinachooendelea kati ya pande mbili za kishabiki za Diamond na mpenzi wake Wema. Kupitia ukurasa Instagram, H.Baba amesema:
 Tanzaniteone uyo anawaambia sina chakusema kuhusu baba yangu na mama yangu ila baba analolakuwaambia Wema na Naseeb. Wema kapewa lawama nyingi ila asilaumiwe kwasababu kuu nyingi tu anaeweza kumuongoza Wema ni Naseeb au mama Wema na Martin, upande mwingine Wema na Daimond wanamakosa kwani wanasubiri nini kuowana kama Kweli wanapendana wangefunga ndoa yaya yote yasingetokea kusaidiana kazini ipo ata mie huwanapanda na Mama Tanzaniteone kwenye show zangu pia filamu ya wife nashiriki. ushauri wangu Diamond unaweza kumuongoza Wema vyema tuu kama mimi ninavyomuongoza Mama Tanzaniteone ninaimani unaweza kumuongoza vyema zaidi yetu sisi. Wawili wakipendana kuingilia penzi ni inshu ila wanapendezana sana chamsingi wangesaidiana kwenye kazi zaidi kama wema anavyoonekana akitoa #saport kubwa kwa #NASEEB na naseeb aonyeshe ushirikiano kwenye mov za wema awepo pia watauza sana kama tunavyouza filamu zetu Mie namamatanzaniteone Ikitoka leo inaisha fasta.
 Pia amuongoze kwenye kipindi cha WEMA SHOW mnasaidiana kwelii ata maadui wataogopa #diamond anaweza kumpandisha wema na wema anaweza kumpandisha #daimond wote mnanguvu sana mnamashabiki sana #owaneni mtulie tuuu kwani nn mnakosa mbona sisi tupo tunaishi vyema kwa uwezo wa mungu kazi tunapata mtoto tunamlea vyema hatujalala Njaa kwasababu mwanaume kazini mwanamke kazini #NDOA raha sana asikudanganye mtu unaheshimika popote palee kama #Mume wa mtu na #mke wa mtu #Muda ndo huu umriii uwoo unakwenda fanyeni yenu fasta #leo juu kesho chini #tunawapenda sana tunawatakia maisha mema yenye Furaha kama sisi apa tunafuraha Muda wote? Karibuni kwenye ndoa muone rahaaa..

Comments