DUNIANI KUNA MAMBO CHEKI HIZI PICHA on August 28, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Duniani kuna maajabu, mti huu unaotoa matunda yenye umbo la binadamu huko nchini Thailand na kuzaa kila baada ya miaka 20. Haya ndiyo maajabu ya dunia, ukistaajabu ya Musa utaona ya mti huu wa maajabu. Comments
Comments
Post a Comment