DIDIER DROGBA KUSTAAFU KUCHEZA SOKA LA KIMATAIFA

Didier Drogba    
Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea ya Uingereza na timu ya taifa ya Ivory Coast Didier Drogba ametumia mtandao wake kutangaza kustaafu soka la kimataifa na timu yake ya Ivory Coast.

Didier ambaye kwa sasa anamiaka 36 ataendelea kuichezea Chelsea. Mpaka sasa Drogba ameifungia timu yake ya taifa magoli 60 kwenye michezo 104. 


Kutoka kwenye website ya Didier

Comments