DIAMOND:NAFURAHI SANA KUONA NYIMBO ZANGU ZINACHEZWA NJE

 

 Hii post mpya ya Diamond kwenye Instagram kuhusu kazi zake kuchezwa nje. Wasanii wengi wamekuwa wakitumia pesa na nguvu nyingi ili kazi zao zichezwe nje na kupata promo kubwa kama anayopewa Diamond na vituo kama Trace Nigeria,Mtv Base na Channel O.

Kwa Diamond hii inaonyesha kuwa lengo lake la kufanya vizuri kimataifa limefanikiwa.




Comments