DIAMOND ASHINDA TUZO NYINGINE KUTOKA BURUNDI

Baada ya kushinda tuzo za African Muzik Magazine Awards, Diamond ameshukuru tena mashabiki wake kwa kushinda hii tuzo kutoka Burundi, Ameandika ujumba huu instagram “Asante sana kwa Media wadau na Mashabiki zangu pendwa kwa kuifanya Number One kuwa Nyimbo Bora ya East Africa ya Mwaka kwenye tunzo za #TTTMAwards nchini Burundi…..“
Dmd

Comments