COVER YA ALBAM MPYA YA T.I NA FILAMU YAKE

ti-press-2013-650c
Rapper T.I. amethibitisha kuwa album yake mpya ya “Paperwork” itatoka October 21, 2014 na tayari cover la album hii limesambazwa. Producer wa Album hii ambaye ni Pharrell amethibitisha kuwa wamefanya nyimbo za kutosha na zinaweza ata kutoa album mbili. T.I Pia amedokeza kuhusu kuwa na filamu ya album hii ya PaperWork itakayohusu maisha ya T.I.
Kwenye interview na Hot 97, T.I Amesema “Paperwork is official, itazungumzia maisha ya kazi ya T.I, matatizo aliyopitia na changamoto zote za maisha yake ya kazi ” Hili ndio cover la album hii.
TI_PAPERWORK

Comments