CIARA AWACHANA US WEEKLY KWA KUTOA TAARIFA ZA UONGO

drama
Msanii Ciara ametumia twitter kukanusha taarifa kuwa alifanyiwa mahojiano na Jarida la Us Weekly kuhusu mahusiano yake na Future. Ciara amekanusha kilichoandikwa na magazine hio na mpaka sasa haieleweka kama kauli yake kuwa ameachana na Future ni ya ukweli au sio ya ukweli. Ciara ameandika haya maneno twitter.
“I did not do this interview with you! This is a lie, and tasteless! Must you be that thirsty to create a story?! Unbelievable!” akimaanisha “Sijafanya haya mahojiano na nyie,huu ni uongo na hauna ladha,mnakiu sana ya stori mpaka mnazusha mambo,Siamini”
cici

Comments