CHEKI VIDEO MPYA YA JENIFER LOPEZ BOOTY

jlo
Baada ya wengine wote kufanya twerk videos hivi sasa ni zamu ya JLo. Kwenye video yake mpya ya Booty akiwa na dancers wake JLo ameonyesha uwezo wake wa kucheza twerking style.
Hiki ni kipande cha dakika moja na sekunde 6 kutoka kwenye video ya Booty akiwa na Pitbull.

Comments