CHEKI KITU WALICHOFANYA JOTI NA LULU..ONA VIDEO HAPA CHINI


Kupitia mtando wa INSTAGRAM, Elizabeth Michael aka Lulu ameshare nasi hii video ya harusi yake na muigizaji mwenzaje JOTI......Kisha kuandika maneno haya " Ushawahi kuona Harusi ina wadhamini wewe.....hahahahahha Nwei...Special Thanks To.... 1. GLAMBOX walisimamia Make-up ya Bibi harusi 2. @kionne_bridal_boutique for the beautiful dress n accessories 3. @weddingbellstanzania lol...walisimamia SUIT ya bwana harusi 4. ESCAPE 1-VENUE 5.CYN HENJEWELE - DECORATION Lastly na nyie mlioudhuria pale ITV Jumamosi...."


Comments