BREAKING NEWS:AFANDE SELE AFIWA NA MKEWE 'MAMA TUNDA'

 
Maskini Afande sele amefiwa na mkewe usiku huu mida ya saa 7 usiku.Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia blog hii ili tuweze kujua chanzo ni nini kilichopelekea kifo chake.

SOURCE:Edo Kumwembe

Comments