BABY MADAHA ASAINI MKATABA NA LEBO YA HASH MOTHERLAND


Baby Madaha amesaini mkata na lebo ya Hash Motherland itakayokuwa ikirekodi nyimbo zake.Nyimbo yake ya kwanza kuifanya studio hiyo ambayo inaitwa Mahaba Niue.Studio hiyo iko Sinza Lion.

Comments