Wizara ya mambo ya ndani nchini kenya imethibitisha kutokea kwa vifo vya watu 30 katika matukio mawili tofauti katika makaazi ya pwani ya kenya karibu na mpaka wa somalia.
Watu 20 waliuawa katika eneo la gamba kaunti ya tanariver huku watu 9 waliuawa wakati wa ufyatulianaji wa risasi katika kituo kimoja cha biashara kaunty ya lamu karibu na mpaka wa somalia.
Wakati tukio hilo linatokea watu hao walikufa wakiwa wanaangaliia kombe la dunia.
Comments
Post a Comment