VANESSA MDEE AMPENDEKEZA RAHEEM DA PRINCE KUSHIRIKI BIG BROTHER AFRICA..




Vanessa mdee a.k.a V MONEY amesikitika kutoweza kuchukua fomu ya kujiunga na bigbrother kwani awezi kuishi na watu wengi aliwaomba radhi mashabiki wake.
Ila alimpendekeza Raheem Da Prince ambae ni mtangazaji wa Times fm ambae ana uwezo wa kufanya vizuri zaidi.

Comments