STEVE NYERERE AWAFANYIA SUPRISE WASANII...... on July 11, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Steve nyerere ambae ni mwenyekiti wa bongo muvi aliamua kuwafanyia suprise wasanii wa bongo muvi,muziki na wadau wa filamu kwa kuwaandalia chakula cha usiku baada ya kufuturu.Aliamua kushirikiana na waislamu wote duniani kwa kujumuika pamoja. Comments
Comments
Post a Comment