SHILOLE AKATALIWA UKWENI....


Ndugu wa Nuh Mziwanda wamemkataa Shilole kutokana na kutofautiana umri wao na kusema wanaumia kuona Nuh akiwa katika penzi zito na shilole.

Comments