ROSE NDAUKA AMKIMBIA MUMEWE...


Rose ndauka amemkimbia mumewe kisa mwezi wa ramadhani na kumwacha afunge kwa amani kwani yeye afungi pia awajaoana.Kwasasa ameamua kukaa kwa mama yake Kigogo.
Mwezi ukiisha atarudi kwa mumewe na kuendelea na maisha yake kama kawaida.

Comments