Real madrid imekamilisha usajili wa mkali wa mabao James Rodriguez ambae ni bingwa wa mabao wa mwaka 2014 wa kombe la dunia mwaka huu alieshinda kiatu cha dhahabu.
James Rodriguez ni mshambuliaji kutoka Colombia mwenye umri wa miaka 23 amesaini mkataba na Madrid kwa muda wa miaka sita akitokea Monaco.
Ripoti zinasema mchezaji huyo ametumia gharama ya uhamisho paundi millioni 63 na kumfanya kuwa mchezaji wa nne mwenye gharama akiwa nyuma ya Gareth Bale,Cristian Ronado na Luis Suarez.
Hapa akiwa anafanyiwa vipimo vya afya Real madrid.
Comments
Post a Comment