PICHA ZA NEYMAR AKIWA BEACH NA MPENZI WAKE

 
Mchezaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Neymar Jr ameendelea kuuguza majeraha aliyoyapata katika mechi za kombe la dunia.Hizi ni picha akiwa beach na mpenzi wake Bruna Marquezine huko Hispania kwa ajili ya mapumziko mafupi.








Comments