PICHA ZA MWANZO WA AJALI YA AIR ALGERIE

 
Kwa muujibu wa daily mail hizi ni picha za mwanzo za ajali ya air Algerie iliyopata ajali dakika 50 baada ya kupaa ambayo iliangukia eneo la mashariki mwa nchi ya Mali ikitokea Ouagadougou Burkina Faso kuelekea Algiers Algeria.
Katika eneo la tukio kumebaki mabaki ya ndege hiyo na baadhi ya viungo vya binadamu kwani iliuwa watu wote baada ya kupoteza mawasiliano baada ya kupaa kwa dk 50.














Comments