PENNY ACHUMBIWA BAADA YA KUTEMANA NA DIAMOND...



Pennielmwingila a.k.a Dvj Penny baada ya kumwagana na diamond sasa amechumbiwa baada ya yeye mwenyewe kuweka picha ikionyesha kashachukuliwa ila akumtaja muhusika ni nani.

Comments