NEYMAR KUKOSA MECHI ZILIZOBAKI KATIKA KOMBE LA DUNIA....

Nyota neymar kutoka brazil atoweza kucheza tena mechi za fainali kutokana na kuumia katika mechi dhidi ya colombia ambapo waliibuka kwa mabao mawili.bwana mdogo huyo aliumia katika mechi hiyo na kupata jereha.mchezaji huyo aliuumiza mfupa ulioshikiria uti wa mgongo.

Pia brazil aitakuwa na nahodha wao Thiago Silva baada ya kupewa kadi za njao mara mbili.

Comments