Mchezaji kiungo Neymar ambae ni mbrazil aliyekuwa akichezea timu yake ya taifa,Ambae pia ni mchezaji wa Barcelona.Neymar mwenye umri wa miaka 22 ni mmoja kati ya wachezaji wanaolipwa vizuri duniani anapokea dola milioni 28 za kimarekani ambapo mshahara ni dola mil12 na mil 16 ni za matangazo anayofanya katika kampuni kama Nike,Castrol,Panasonic,L'Oreal na Volkswagen.
Comments
Post a Comment