MTO WABADILIKA RANGI NA KUWA MWEKUNDU HUKO CHINA...


 
Mto uliokuwa unapitisha maji masafi sasa maji yamebadilika na kuwa mekundu huko nchini China katika jimbo la Zhejiang,Ambapo wataalamu walienda kupima maji haya na kusema hii ni mara ya pili kutokea kwa hali hiyo katika mito mikubwa ya nchi hiyo kwani hata mwaka 2012 hali hiyo ilitokea katika nchini hiyo katika mto Yangtze.




Comments