MSANII HUYU AKERWA NA TABIA YA USHOGA

Aunt Ezekiel amechukizwa na tabia wanayoifanya wanaume mwenye tabia za kike kupitia mtandao huu alisema,"mimi nawashangaa hao wanaume wanaofanya tabia za kike (mashoga)utawakuta wanajichetua,kujishaua mbele za watu na pasipo kujari chochote wakati wana uwezo wa kubadilika mara moja".

Comments