HASHEEM;SIJASAHAU LUGHA YA KISWAHILI MIMI

 
Mchezaji wa kikapu Hasheem Thabit kutoka Tanzania anayechezea kikapu nchini Marekani alifunguka haya katika ukurasa wake wa facebook kwa kuwakosoa watu wanaodhani kasahau kiswahili.


Comments