MBWANA SAMATTA KUCHEZA MECHI YA JUMAPILI....TANZANIA VS MSUMBIJI...



Mshambuliaji na kiungo wa Timu ya Taifa Mbwana Samatta kujiunga na wenzie kesho ambapo atacheza mechi kati ya Taifa Stars dhidi ya Msumbiji.Ambae anachezea timu moja nchini Tunisia.

Comments