KOFFI OLOMIDE AOGOPA KUKAMATWA ZAMBIA...


Mwanamuziki mkongwe kutoka jamhuri ya kidemocrasia ya kongo Christoph Chalz Agbert Mumba a.k.a koffi olomide ama mopao.Mwanamuziki huyo anatarajiwa kufanya shoo ya kufa mtu nchini Zambia,Msanii huyo anaogopa kukamatwa na mapolisi baada ya kumpiga mwandishi wa nchi hiyo na kuiharibu camera yake.

Comments