KAJALA:WEMA NI MNAFIKI KABISA.....



Kajala masanja amefunguka ya moyoni na kusema wema ni mnafiki kwani ilikuwaje akashindwa kumualika katika birthday ya mkwewe wakati walikubaliana kuwa kitu kimoja,aliongeza kusema yeye ana kinyongo na wema ila wema bado ana kinyongo na yeye.
Wema alipoulizwa alijibu:Mimi nilipitiwa na hata hiyo siku nilikuwa sijui na nilikurupushwa tu jamani mimi sina neno na kay ambae ni kajala na mara ya mwili niliongea nae jumapili usiku.ambayo ilikuwa tar 6.

Comments