JUX AANZISHA CLOTHING LINE...




Mwanamuziki Jux ameanzisha clothing line kwa watu wote.Yeye ameingia katika orodha hiyo ya kuwa miongoni mwa wanamuziki wanaomiliki clothing line kama lil wyne,jay z na nelly.
Nguo hizo zitapatikana  sinza katika duka la STAR LOOK.

Comments