JOKATE ASAKA MUME MWENYE MAPENZI YA KWELI


Jokate mwigelo ameamua kuongea ya moyoni kuwa sasa anaitaji mume wa kuwa naye ila akataja vigezo kadhaa kuwa mwanaume atakayemfuata awe na mapenzi ya kweli ,kumjali na kumuheshimu.

Comments