HIVI NDIVYO ALIVYOSHEHEREKEA B12 JANA KATIKA BIRTHDAY YAKE...













 
Mtangazaji wa kipindi XXL Khamis Mandi a.k.a B12 jana alisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na masta kadhaa katika kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Sinza Mori kiitwacho Chakuwama.

Comments