Wafanyakazi wa Ukraine wameripoti kukuta miili ya watu 196 katika eneo la ajali ilipodondoka ndege hiyo ya Malaysia MH17.
Jumla ya watu waliokuwepo katika ndege hiyo walikuwa 298 ambapo ndege hiyo ilitunguliwa na kundi la waasi katika eneo la Ukanda wa Donetsk siku ya alhamis iliyopita.
Comments
Post a Comment