Video hii na pamoja na ile video aliyofanya na iyanya ataziachia kesho katika kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi.Ambazo ataziachia kesho jumatatu ikiwa ni zawadi kwa mamayake pia akisema kuna suprise kibao kwa ajiri ya mama huyo.
Video hiyo imefanywa na director yuleyule Godfather anaefanya vizuri kazi za wasanii wakubwa wa bara la afrika.Na producer ni Tuddy Thomas.
Comments
Post a Comment